Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2021
Picha
   SOMO LA 3                       ZURIA LA POMPOM Leo tuangalie namna ya kushona zuria la Kiroba.   VIFAA   1. Uzi 2. Kiroba 3. Sindano (Sio lazima) UZI: Huu ndio uzi wetu unaotumika unapatikana maduka ya uzi ya jumla na maduka ya kawaida, unauzwa sh 1500 mwembamba na                                             mnene unauzwa sh 3000 KIROBA: Chora kiroba chako au mchoro wako uutakao. Utaweka vipompom vyako kwa kufuata mchoro wako ua lako kwa mtindo wa kutoboa kiroba kwa kwa kisu au mkasi.  NAMNA YA KUSHONA NI KAMA IFUATAVYO KWENYE VIDEO HII YA CHINI HAPA.                       UTAANZA KUWEKA VIPOMPOM VYAKO KAMA INAVYOONYESHWA HAPO JUU KWENYE VIDEO BAADA YA KUSHONA ZURIA LAKO LA VIPOMPOM LITAKUWA KAMA HIVII Kama hujaelewa sehemu muulize mwali...