SOMO LA 3
ZURIA LA POMPOM
Leo tuangalie namna ya kushona zuria la Kiroba.
VIFAA
1. Uzi
2. Kiroba
3. Sindano (Sio lazima)
UZI: Huu ndio uzi wetu unaotumika unapatikana maduka ya uzi ya jumla na maduka ya kawaida, unauzwa sh 1500 mwembamba na mnene unauzwa sh 3000
KIROBA: Chora kiroba chako au mchoro wako uutakao. Utaweka vipompom vyako kwa kufuata mchoro wako ua lako kwa mtindo wa kutoboa kiroba kwa kwa kisu au mkasi.
NAMNA YA KUSHONA NI KAMA IFUATAVYO KWENYE VIDEO HII YA CHINI HAPA.
UTAANZA KUWEKA VIPOMPOM VYAKO KAMA INAVYOONYESHWA HAPO JUU KWENYE VIDEO
BAADA YA KUSHONA ZURIA LAKO LA VIPOMPOM LITAKUWA KAMA HIVII
Kama hujaelewa sehemu muulize mwalimu kupitia wasap:
Madam Meck 0715139472
Ticha Mau 07421722722.
©2021 Alright reserved by us
Maoni
Chapisha Maoni